Unashauriwa zaidi kuchukua cheti cha semina hii ya mafunzo kwaajili ya kuboresha CV au Profile yako pamoja na kuikuza career yako.
Hii ni muhimu kwa watu wote, hata kama mtu ataamua kujiajiri kuonyesha upana wa maarifa yako ni vema ukaonyesha vyeti ulivyowahi kupata katika mafunzo na semina.